Mwanza City: The Photo Gallery

Hivi kwa nini hizi barabara za mawe huwa hawaweki Street lights kama wanavyofanya kwenye za lami
barabara za lami baadhi ndio zina street lights,ijekuwa hizi za mawe!! japokuwa itakuwa fresh kama wangekuwa wanafanya hivo
 
Barabara ya kuanzia buzuruga kupitia mecco adi nyakato sokoni wameipendezesha kwa kuiwekea lami ngumu na njia ya watembea kwa miguu, kwa kweli barabara ilikuwa imechoka sana, shukurani kwa halmashauri ya ilemela, kupita tarura, pia hongera kwa mkandarasi Nyanza company hii barabara sasa ni kiwango.
 
Kuna project ya ujenzi wa gorofa hapo mjini kati mitaa ya lumumba na sasa wapo ghorofa ya tano na huyu mkandarasi wa huu ujenzi kesho ataanza kujenga jengo la ghorofa 12 maeneo ya clinic kuna mwana humu alishapost huo mradi nikamtania, ni kweli mradi upo na ghorofa 12.
 
Clinic, Makongoro RD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…