Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kuna project ya ujenzi wa gorofa hapo mjini kati mitaa ya lumumba na sasa wapo ghorofa ya tano na huyu mkandarasi wa huu ujenzi kesho ataanza kujenga jengo la ghorofa 12 maeneo ya clinic kuna mwana humu alishapost huo mradi nikamtania, ni kweli mradi upo na ghorofa 12.
Hyo ya Lumumba Ina ghorofa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamejenga tu uzio hakuna project yeyote pale,,wajuzi wa mambo wanadai lile eneo ni open space ila kuna kigogo wa serikali amejimilikisha,,wanadai ni naibu waziri wa aridhi Ridhiwan
Ni kweli tena alimashauri walikuwa wanataka kuliazima hili eneo kwa ajili ya mchinga lakini huyu bwana mkuzi liz akawazingua.
 
Tarehe 31/10 walisema ndo itakuwa siku ya kumkabidhi mkandarasi stand ya nyegezi cha kushangaza leo tarehe 7 stand bado haijakabidhiwa
Nadhani wanasubiri barabara za kuingia na kutoka zikamilike, pia wanangoja certificate yao ya mwisho ilipwe theni wakabidhi stendi, kiukweli serikali wanazingua sana kwenye malipo, alafu lawama zote anatupiwa makandarasi kwa kuchelewesha ujenzi.
 
Nilitaka kujipa task ya kupiga magorofa ambayo hayajakamilika na ambayo yaliwekwa kwenye majenzi yanayoendelea, ila magorofa ambayo hayajakamilika Kwa Mwanza ni mengi kuliko yaliyokamilika, kiukweli mwanza ina magorofa mengi sana.
Itapendeza sana! Pia pale ghana lile jengo la royal hospital usiache kutupatia update! Natamani mwanza isonge mbele daima!
 
Nadhani wanasubiri barabara za kuingia na kutoka zikamilike, pia wanangoja certificate yao ya mwisho ilipwe theni wakabidhi stendi, kiukweli serikali wanazingua sana kwenye malipo, alafu lawama zote anatupiwa makandarasi kwa kuchelewesha ujenzi.
Siku tukiwa serious..ndo maendeleo tutayaona ...kwani hiyo barabara walikuwa wapi kujenga Hadi wasubiri mkandarasi amalize stendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom