Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

ILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.

Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza

Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"

Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.

"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.

Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii miradi ya kwenye Makaratasi
 
Kusema ukweli bado mi sijajua mwonekano wa soko itakuwaje ..mwenye render yake atume pliz

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwonekano wa soko hakuna anayejua, kwasababu at ile ramani ya mwanzo walibadilisha baadhi ya design, ila najua ilo soko litakuwa kuwa na zuri kuliko masoko yote hapa nchini, na size yake ya gross floor area ya 28000m2 sio mchezo.
 
Ni mimi ulinitania si upo pale maeneo ya mataa ya nera
Ilibidi nifatilie asee nikapata connection ya ghorofa linalojengwa downtown pale lumumba na hilo linalotaka kujengwa hapo nera, nilipodadisi nikaambiwa litapanda floor 12+ ila hawa matajiri huwa wanazingua wanaweza kuishia ata 10 floor tu ila patakuwa mzuka sana.
 
Hii kitu siamini kama inaweza kutokea kwasasa, mkuu tunaomba utuhakikishie sisi wananzengo kuwa huu mradi utafanyika.
ILEMELA YASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAFIRI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Eng. Modest Apolinary na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi Celine Robert wamesaini mkataba wa makubaliano wa uanzishaji wa mradi wa uboreshaji wa mifumo ya usafiri mijini.

Mradi huu ambao unatarajiwa kuanza mara baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu mwishoni mwa Mwaka 2023 unatarajiwa kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza

Mradi huu utafadhiliwa na shirika la maendeleo Ufaransa(AFD) ambayo ni sehemu ya miradi inayotekelezwa katika programu ya "GREEN AND SMART CITY SASA"

Akishuhudia utiaji wa saini,ndugu John Cheyo Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambae alimwakilisha Katibu Mkuu amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa ya Ilemela na jiji la Mwanza kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa mtaalam mshauri wa mradi huu.

"Niwatake wakurugenzi kuhakikisha mnatoa ushirikiano wa kutosha pamoja na kuhakikisha mradi utakapokuwa unaanza rasmi mnachagua wataalam sahihi ili mradi ukamilike kwa usahihi na kwa wakati uliokusudiwa"amesema John Cheyo.

Bi Celine Robert ambae ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ameshukuru kwa hatua iliyofikiwa na kusema kuwa lengo hasa la mradi huu ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kupunguza matumizi ya hewa ukaa kwa kuboresha usafiri mjini.
Ofisi ya Rais - Tamisemi Msemaji Mkuu wa Serikali Ikulu Mawasiliano Mkoa Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu siamini kama inaweza kutokea kwasasa, mkuu tunaomba utuhakikishie sisi wananzengo kuwa huu mradi utafanyika.
Huu mradi uko chini ya fedha zilizotolewa na EU Kwa miji ya Tanga ,mwanza na pemba ..ujulikanao kama green and smart city SASA ....Hawa wafaransa wamefinance huu mradi wa usafiri (green infrastructure) chini ya hyo program

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mradi uko chini ya fedha zilizotolewa na EU Kwa miji ya Tanga ,mwanza na pemba ..ujulikanao kama green and smart city SASA ....Hawa wafaransa wamefinance huu mradi wa usafiri (green infrastructure) chini ya hyo program

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika jemedari sasa kama huu mpango ukiwin hakika hili jiji litavutia zaidi na zaidi.
Kwahiyo huo mpngo utasainiwa lini?
 
Sasa hivi vibanda vitaondolewa lini ili jiji lipate taswira mpya na ya kupendeza kwa soko kuzungukwa na barabara maridadi pamoja na hii recreational area itakayopatika baada ya haya maduka ya kipindi cha mkoloni kuondolewa hapo.
Yale hayana muda trust me, ndio muonekano wa soko kwa ujumla
 
Back
Top Bottom