Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]we jamaa nimekuona kule na jamaa wa arusha.mnasapotiana kwenye mada yake ya mchongoUnyama mwingi sana
Mwanangu Sana Yule 😊😊 harakat zangu nyingi zipo chuga mkuu[emoji28][emoji28]we jamaa nimekuona kule na jamaa wa arusha.mnasapotiana kwenye mada yake ya mchongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah saw bwana .karibu mwanZa mkuuMwanangu Sana Yule [emoji4][emoji4] harakat zangu nyingi zipo chuga mkuu
Mwanza home Sana chief , Mother yupo kisesa , Mzee kajenga Ilemela , so mara Kwa mara npo huko kupunga upepo mwanana wa ziwa la bardii
Yeah bwana.... wanasema integrate with your neighbor but don't assimilate with him ...uko Arusha lakin usisahau culture yako na home land ukaassimilite uchuga chuga[emoji28]Mwanza home Sana chief , Mother yupo kisesa , Mzee kajenga Ilemela , so mara Kwa mara npo huko kupunga upepo mwanana wa ziwa la bardii
Ha haa mkuu tupo together , mostly huwa na_battle upande wa MwanzaYeah bwana.... wanasema integrate with your neighbor but don't assimilate with him ...uko Arusha lakin usisahau culture yako na home land ukaassimilite uchuga chuga[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au syo .pamoja sana mkuu.... MWANZA ITAJENGWA NA WANA MWANZA WENYEWE [emoji106]Ha haa mkuu tupo together , mostly huwa na_battle upande wa Mwanza
Mwanza [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna hitajika mascraper matatu tu marefu ya ghorofa at least 25 kuifanya skyline ya mwanza iwe classic kutokea ziwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna hitajika mascraper matatu tu marefu ya ghorofa at least 25 kuifanya skyline ya mwanza iwe classic kutokea ziwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Liko mitaa gani boss? Kibao cha ujenzi ulipiga picha?Hili jengo nilipiga kama wiki mbili zilizopita, nimepita jana halikuwa hivi tena wapo floor ya sita na ujenzi upo kasi sana.
View attachment 2415348
OK! Jitahidi kama utaweza piga picha kibao cha ujenzi boss!Nyasaka inakuja juu sana kwa sasa majengo mengi ya ghorofa na hotel za gorofa zimeshika hatamu, pia kuna ujenzi wa mall pale sijui ni shopping centre kama sio plazza, hapo karibu na maduka tisa.
Mtaa wa lumumba ila wadai wanasema litaishia gorofa tisa au nane tu, lakini huyu mkandarasi anajenga pia na pale nera kuna site watajenga gorofa 12.Liko mitaa gani boss? Kibao cha ujenzi ulipiga picha?
Tunashukuru sana kwa updates zenu!Nyasaka inakuja juu sana kwa sasa majengo mengi ya ghorofa na hotel za gorofa zimeshika hatamu, pia kuna ujenzi wa mall pale sijui ni shopping centre kama sio plazza, hapo karibu na maduka tisa.
Sawa tajitaidi nikiwa napita napiga picha ila huwa kuna soo fulani hivi, upigaji wa picha ni kipaji😂😂😂😂OK! Jitahidi kama utaweza piga picha kibao cha ujenzi boss!