Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza home Sana chief , Mother yupo kisesa , Mzee kajenga Ilemela , so mara Kwa mara npo huko kupunga upepo mwanana wa ziwa la bardii
Yeah bwana.... wanasema integrate with your neighbor but don't assimilate with him ...uko Arusha lakin usisahau culture yako na home land ukaassimilite uchuga chuga[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwonekano wa soko kuu kwa sasa japo kwa ndani limekamilika kwa kuweka talazo kwa chini kazi kubwa ni kuweka roof ambayo inaendelea adi kufika mwezi wa pili taswira ya soko itakuwa imeonekana, lakini ili soko ni kubwa balaa
 
Mwanza [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna hitajika mascraper matatu tu marefu ya ghorofa at least 25 kuifanya skyline ya mwanza iwe classic kutokea ziwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii vlog nimeona jengo la hile hotel ya nyota tano ya capripoint, hii hotel ikiisha ikapigwa vioo na udambwi udambwi kwa mbele itatisha.
 
Nyasaka inakuja juu sana kwa sasa majengo mengi ya ghorofa na hotel za gorofa zimeshika hatamu, pia kuna ujenzi wa mall pale sijui ni shopping centre kama sio plazza, hapo karibu na maduka tisa.
OK! Jitahidi kama utaweza piga picha kibao cha ujenzi boss!
 
Nyasaka inakuja juu sana kwa sasa majengo mengi ya ghorofa na hotel za gorofa zimeshika hatamu, pia kuna ujenzi wa mall pale sijui ni shopping centre kama sio plazza, hapo karibu na maduka tisa.
Tunashukuru sana kwa updates zenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…