Mwanza City: The Photo Gallery



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mwanza mjukuu wa Dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‰
 
Yule anayelinganisha Mwanza na Arusha ni mwendawazimu. Mwanza usilinganishe na vitu vya ajabu. Mimi Arusha na Mwanza kote nimefika tena sio kusalimu ndugu hapana ni kutalii kwamaana kwamba haya majiji yote nimezunguka vya kutosha. Kwakweli Mwanza ni level zingine aisee. kuna sehemu nyingi zinazopendeza. Nilifurahi sana nilipotembelea Saanane Island National Park kuliko mbuga ingine yoyote kati ya nilizotembelea, nilienjoy sana nilivyoenda Jembe ni Jembe Beach Resort....nilienda pia Tunza Beach Resort nilifurahi mnooo. Nikaingia Rock City Mall kutizama cinema...waachaa.

Majengo ya ajabu yapo Mwanza aisee kama lile jengo ukiwa unaelekea Saanane National Park (limejipindapinda hiviii).

Lakini kuna vitu pia viliniboa vinafaa virekebishwe kama aina ya usafiri wa vipanya, pia jiji linapoa mapeema mno...saa tano usiku kimyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mamiz grand resort mkolanihapa ni mapokezi
 
nyakahoja primary school. the best primary school in mwanza. watoto wanakata ngeli hadi huruma.
 
Kiukweli nilipapenda sana Mwanza... Nikapata uwezo ninaweza kuweka makao mengine huko...
Hiyo Luchelele iko sehemu gani, maana ndio kwanza naliskia hilo jina?...
Karibu,Luchelele tutapata uwanja japo kwa shida lakini kwa bei kubwa,kuna viwanja hapo mpaka vya Rais wa Congo bwana Kabila ila usiogope karibu sana

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…