intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 705
- 1,123
Ukienda kwenye ubao wa maelezo ya kikandarasi kwenye eno la mradi utaona sehemu imeandikwa CLIENT: huyo ndo mmiliki wa jengo!Hv pale kwny soko kuu lile gorofa wanalojenga pemben kama floor 4 litakuwa ni la nn?
Wanashindanisha Buswelu na Nkuhungu???? Sunk anachekesha sana.
Umenichekesha sana ndugu yangu.Ukienda kwenye ubao wa maelezo ya kikandarasi kwenye eno la mradi utaona sehemu imeandikwa CLIENT: huyo ndo mmiliki wa jengo!
Huyo jamaa hayuko sawa, yeye kila uzi unaoiponda Mwanza yupoWanashindanisha Buswelu na Nkuhungu???? Sunk anachekesha sana.
Yaani hakuna visionary leader unategemea nini? Kama hiyo barabara imejengwa mda sasa taa tu wamefeli kuweka! Wanakula pesa na kuramba asali!ni aibu sana barabara ya airport hasa maeneo ya gana ni giza hakuna taa za barabaran
Tanroads washatenga bilioni 1 Kwa ajili ya taa hyo barabarani aibu sana barabara ya airport hasa maeneo ya gana ni giza hakuna taa za barabaran
Kutenga sio issue issue ni kutekeleza watu hawataki blahbha!Tanroads washatenga bilioni 1 Kwa ajili ya taa hyo barabara
Yan hyo barabara hawaitendei haki kabisaKutenga sio issue issue ni kutekeleza watu hawataki blahbha!
Zimewekwa Hadi wapi?Yan hyo barabara hawaitendei haki kabisa
Pole sana aseee..kwa muda, wakati ni kiwaza nifanye nini kufanikisha hazima yangu ya kupata picha ya hili jengo.........
ITAENDELEA..
Nikamuona mdada umri kati ya miaka 20-22, anaelekea kwenye ofisi yake, na ofisi hiyo ni stationary fulani hivi, kabla sijauliza dhumuni la hao watu kusimama barabarani kando ya jengo la mahakama niliomba kwanza, nipatiwe kinywaji huku nikiendelea kusubiria hawa watu waondoke, nikiwa natafakari nikaona defender na kalandika linakuja usawa wa jengo la mahakama, kupiga jicho vizuri mara namuona mfalme zumaridi ndani ya defender, nami bila ajizi nikiwa nawaona wakina mama na wadada wakumshangilia mfalme wao, nikasema huu ni wakati wa mimi kupiga picha hili jengo, wakati napiga picha mara paap, nikavamiwa na wakina mama pamoja na wakina baba wakiwa wanapiga kelele na kurudia haya maneno mara kwa mara"umempiga picha mfalme wetu, umempiga picha simba, yatakayokupata au yatakayotupata utawajibika" wakati nikijitoa mikoni mwao ili nikimbie niende kwenye usafiri, nilivutwa nikaangushwa chini nikapigwa, nikasema hapa natakiwa nijitete ndipo nikaanza kuwaambia mimi sio mwandishi wa habari wala sijapiga picha mimi mwenyewe mfalme zumaridi ni simba wangu pia nina amini ni mungu chini ya jua, mara mwingine akadaka simu yangu akaipiga chini kwa bahati haikuharibika bali kioo kilivunjika, kwa bahati ile defender iliyompeleka zumaridi mahakama ilikuwa inarudi ndipo waliponiachia nikasema inshaallah, ilibidi nirudi nyumbani kisha niende hospital kwa matibabu.
Hakika mikdde umeniponza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaahkwa muda, wakati ni kiwaza nifanye nini kufanikisha hazima yangu ya kupata picha ya hili jengo.........
ITAENDELEA..
Nikamuona mdada umri kati ya miaka 20-22, anaelekea kwenye ofisi yake, na ofisi hiyo ni stationary fulani hivi, kabla sijauliza dhumuni la hao watu kusimama barabarani kando ya jengo la mahakama niliomba kwanza, nipatiwe kinywaji huku nikiendelea kusubiria hawa watu waondoke, nikiwa natafakari nikaona defender na kalandika linakuja usawa wa jengo la mahakama, kupiga jicho vizuri mara namuona mfalme zumaridi ndani ya defender, nami bila ajizi nikiwa nawaona wakina mama na wadada wakumshangilia mfalme wao, nikasema huu ni wakati wa mimi kupiga picha hili jengo, wakati napiga picha mara paap, nikavamiwa na wakina mama pamoja na wakina baba wakiwa wanapiga kelele na kurudia haya maneno mara kwa mara"umempiga picha mfalme wetu, umempiga picha simba, yatakayokupata au yatakayotupata utawajibika" wakati nikijitoa mikoni mwao ili nikimbie niende kwenye usafiri, nilivutwa nikaangushwa chini nikapigwa, nikasema hapa natakiwa nijitete ndipo nikaanza kuwaambia mimi sio mwandishi wa habari wala sijapiga picha mimi mwenyewe mfalme zumaridi ni simba wangu pia nina amini ni mungu chini ya jua, mara mwingine akadaka simu yangu akaipiga chini kwa bahati haikuharibika bali kioo kilivunjika, kwa bahati ile defender iliyompeleka zumaridi mahakama ilikuwa inarudi ndipo waliponiachia nikasema inshaallah, ilibidi nirudi nyumbani kisha niende hospital kwa matibabu.
Hakika mikdde umeniponza🤣🤣🤣
Ila hatuachi kutafuta picha pale tunapopata muda.Pole sana aseee..
#MaendeleoHayanaChama