Mwanza City: The Photo Gallery

Barabara ya kutoka kiloleli kwenda maduka Tisa ina taa ila huwa haziwaki, ukipita Giza kama kawaida. Huwa nashangaa kweli.
Sio hiyo tu barabara nyingi mwanza zina taa lakini haziwaki, ata sasa tunavyolilia taa zitakuja kuwekwa na baada ya miezi miwili kutakuwa giza tu, we angalia ata daraja la furahisha siku hizi ni giza tu, jiji linashindwa kweli kutenga bajeti kwaajili ya kufanya maintainance ya miundombinu kweli?
 
Wanatakiwa wabadili mfumo wa nishati, hizo taa zilikuwa zinatumia umeme wa Tanesco, shida ipo kwenye bill, Minara ya taa haina matangazo ya biashara
 
Pole sana kiongozi kwa yaliyokupata
 
[emoji28][emoji28] pole bwana..kumbe ulipigwa na malaika wa Mungu zumaridi..ila samahani bwana Kwa kukuingiza kwenye msala.
 
Ilibidi niwaambie n mimi ni mfuasi wa mfalme zumaridi mungu chini ya jua nami nilikuja kumpasupport jemedari wetu simba wetu.
[emoji28][emoji28] pole bwana..kumbe ulipigwa na malaika wa Mungu zumaridi..ila samahani bwana Kwa kukuingiza kwenye msala.
 
Kuna mdau ni raia wa jiji la wurzberg, ni mzungu tuna urafiki naye, naye alikuwa anasema wamedokezwa na CUHAS kwaajili ya kusupport huu mradi, pia akaniambia wanaproject ya kuwasaidia wavuvi hapa mkuyuni kwa uvuvi wa kisasa.
Habari njema sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…