Mwanza City: The Photo Gallery

Barabara ziko hatua ya mwisho .washaweka zege na lami Tayari... nyegezi Pako vizuri.sio haba tuombe wawekezaji waweke vitu pale .pawe kama Morocco dar
Nilizani tuwe kama morocco kabisa kumbe morocco ya dar😂😂😂😂 I'm just kidding, lakini ungepiga na kapicha.
 
Nyakato sokoni hapo ni hatari.sana .hayo mataa sijui wafanyaje tu ...wayaondoe na waweke keep left .tu
Kila siku maeneo hayo ni ajali tu, kwasasa pamekuwa na maeneo ya hatari sana hayo na yakuogopwa kwa madereva na watembea kwa miguu.
 
Ni soko la kirumba, linajengwa hapo hapo kulipokuwa na soko la zamani.
Tukiweza kupata michoro ya hizi projects itakuwa poa sana. Maana kuona tu mchoro kunaleta furaha moyoni na wakiweza kupafumua huko milimani ebhana patakuwa pazuri. I hope mwanza inaweza kuwa destination ya watalii na watu wwngineo nyakati za mapumziko( holiday). Wafumue hiyo milima, wawekeze kwenye beach na michezo ya majini, sport boats, mashua pia tuwe na special roads pembeni zipambwe na miti safi na ziwe na access ya watembea kwa miguu na waendesha baiskeli. Yaani sipati picha
 
Walikuja wawekezaji wakazi baadhi wa milimani wakishilikiana na haters wa jiji la mwanza walipiga sana kelele adi mwekezaji akazuiwa kwasababu za kisiasa.
 
Jengo kubwa kama hilo huwezi sema mipango miji walilala, kiufupi tunasema alihonga.
 
Hawamaanishi kwamba atakuja mwekezaji atoe 3trillion, ila ni kwamba vinavyotakiwa kujengwa hapo vina thamani hiyo.
Kuna anayeweza kuwekeza kwenye conference centre, alipojenga kitana ni eneo kwa ajili ya arts theatre kama zile zinazotaka kujengwa dom na dar, kwa hiyo ingefika zamu yetu tungesema kiwanja hicho hapo.

Sio kwamba atakuja mwekezaj mmoja ajenge pote, na kila kitu hujengwa kulingana na mahitaji, sasa hivi ujenge jengo la ghorofa 40 mwanza ni hasara,
Ferry terminal ni bandari ndio wa kujenga, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…