Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

L
Wurzberg walijenga barabara ya bugando ile wurzberg road, pia gallow tree, guzet house hapo makoroboi, pia wanatoa vifaa vya uvuvi wa kisasa hapo mkuyuni na miradi mbalimbali ya maji huko vijiji vya magu, pia wanadhamini masomo kwa wanafunzi wa bugando baadhi pia wanabadilisha utaalamu na chuo cha afya cha wurzberg.

Wurzburg walijenga barabara ya bugando ikabadilishwa na Jina, sikupenda walivyobadili jina
Aah sawa wako vizur , wakipata uongozi makini wanaweza fanya makubwa
 
Mimi hamna watu ambao sina hamu nao kama Tampere 😁 wale jamaa tangu nikiwa kinda nawasikiaga tuu Ila sijawahi ina wamewekeza nini , kuna jiji dada pia linaitwa sjui warzburg, nalo sijawah ona limefanya nn
Tampere city ni jiji rafiki kwa maneno tu ukizingatia bajeti ya tampere park yenyewe ndio maana jamaa waliamua kulala mbele, cha kufanya ni kuwahusisha wawekezaji binafsi wakatiwe maeneo wapewe na michoro kwa kila eneo wanachotakiwa kujenga kwa eneo husika hakuna namna.
 
Kwasasa ametenga maeneo na kajenga majengo ya kuvutia eneo hilo pia wewe huoni lile jengo lake linavyovutia? Mkisubiri masterplan ya serikali itachukua miaka 200.
Master plan haimaanishi kwamba huruhusiwi kujenga bali unajenga kulingana na kinachotakiwa kujengwa, sehemu ya soko lijengwe soko na sio shule.
Masterplan sio kwamba jiji wanajenga bali ni sekta binafsi.
Kaenda kujenga godown sehemu ambayo sio godown.

Basi na watu wa milimani tuwasifu kwa ujenzi wao? Maana hawajafuata masterplan.

Huko pembeni kuna njia mpaka ya metro, kuna prominade, hata kama hatujengi sisi, vizazi vijavyo vita jenga.

Anyway sisi ni vizazi vya bomoabomoa
 
Tampere city ni jiji rafiki kwa maneno tu ukizingatia bajeti ya tampere park yenyewe ndio maana jamaa waliamua kulala mbele, cha kufanya ni kuwahusisha wawekezaji binafsi wakatiwe maeneo wapewe na michoro kwa kila eneo wanachotakiwa kujenga kwa eneo husika hakuna namna.
Tampere park kaombwa kujenga garden tu,ambayo ni sehemu za kupumzikia na michezo, ila kuna miradi mingi hilo eneo
 
Master plan haimaanishi kwamba huruhusiwi kujenga bali unajenga kulingana na kinachotakiwa kujengwa, sehemu ya soko lijengwe soko na sio shule.
Masterplan sio kwamba jiji wanajenga bali ni sekta binafsi.
Kaenda kujenga godown sehemu ambayo sio godown.

Basi na watu wa milimani tuwasifu kwa ujenzi wao? Maana hawajafuata masterplan.

Huko pembeni kuna njia mpaka ya metro, kuna prominade, hata kama hatujengi sisi, vizazi vijavyo vita jenga.

Anyway sisi ni vizazi vya bomoabomoa
Subiri jengo liishe ndio tumuhukumu kitana, lakini kati ya kamanga ferry na mkombozi ferry nani ameharibu mandhari ya ziwa?
 
Tampere park kaombwa kujenga garden tu,ambayo ni sehemu za kupumzikia na michezo, ila kuna miradi mingi hilo eneo
Kaombwa kwa miaka 15 na bado hajajenga hiyo park, na halmashauri inaendelea kumsubiri huu ni ujinga, tujenge wenyewe hiyo park, ilemela na Mwanza cc wanashindwa nini mbona tunakuwa omba omba.
 
Bora useme hivyo, ila haimaanishi tampere wakishindwa basi kitana ajenge uchafu wake, kwa nini asingejenga hiyo project inavyotakiwa si pesa anayo.

Hapo mjini kati wanataka kujengwa ghorofa at least floor 8.
Akitokea mtu kajenga jengo la floor 3 huyo kavunja sheria
 
Kitana mwenyewe alishashindwa kufanya finishing katika jengo lake hapo kirumba naona haifai hata kupewa maeneo mengine ayajenge! Yule ni tajiri lakini sionagi cha maana maana uwekezaji wake hauko smart! Nikifika hapo kirumba naonaga kama magofu tu!
 
Safi sana kamanda, je NHC nao wachukuliwe hatua kali za kisheria kujenga nyumba katikati ya jiji.
 
Kitana mwenyewe alishashindwa kufanya finishing katika jengo lake hapo kirumba naona haifai hata kupewa maeneo mengine ayajenge! Yule ni tajiri lakini sionagi cha maana maana uwekezaji wake hauko smart! Nikifika hapo kirumba naonaga kama magofu tu!
Kama mipango miji walikuwa wamelala, wangempa mikakati nini afanye eneo hilo na huu si muda wa kumlaumu vitu vingi viliingia hapo katu na mambo ya siasa pia.
Sasa tugange yajayo kuna eneo kubwa limebaki tuone juhudi Kwenye hilo eneo la tampere mengine yatafuata.
 
Takwimu zinasema Mwanza inaongoza kwa ujenzi, naona kuna jengo apo Maeneo ya Nyakato. Poleni mliofikwa na ajali hii
Screenshot_20221201-122729_Instagram.jpg
 
Jamani Serikali ipanue izi barabara sasa wewe watembea kwa miguu, Parking na Magari wote wanatumia njia moja tena finyu kwa hali hii ajari haziepukiki
 
Ulipita nyegezi kwasasa sipo Mwanza nimetoka, je zile barabara zakuingia na kutoka zimeshakamilika?
Barabara ziko hatua ya mwisho .washaweka zege na lami Tayari... nyegezi Pako vizuri.sio haba tuombe wawekezaji waweke vitu pale .pawe kama Morocco dar
 
Mawazo ya kwenye makaratasi ni mazuri ila kwenye utekelezaji ndio changamoto
Proposal Iko poa ,,lakin implementation plan Yao Ina kasoro ...mradi trillion 3 sidhani kama Kuna mwekezaji HIV karibuni wa kuweza kuweka pesa zote hzo kwenye mradi ......hapo halmashauri iugawe mradi ,,uwepo mradi wa hayo majengo,uwepo mradi wa beaches,na uwepo mradi wa facilities nyingine na hii Miradi wapewe wabia tofauti tofauti..waongee na NSSF,PSSSF,au bakhresa .......
 
Back
Top Bottom