Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
L
Wurzberg walijenga barabara ya bugando ile wurzberg road, pia gallow tree, guzet house hapo makoroboi, pia wanatoa vifaa vya uvuvi wa kisasa hapo mkuyuni na miradi mbalimbali ya maji huko vijiji vya magu, pia wanadhamini masomo kwa wanafunzi wa bugando baadhi pia wanabadilisha utaalamu na chuo cha afya cha wurzberg.
Aah sawa wako vizur , wakipata uongozi makini wanaweza fanya makubwaWurzburg walijenga barabara ya bugando ikabadilishwa na Jina, sikupenda walivyobadili jina