Mwanza City: The Photo Gallery

Bot executive hostel na bot zonal office ni vitu viwili, tofauti.
Yote yako under construction but maeneo tofauti.
Zonal office iko nera pale ilipokuwa makongoro clinic, hostel iko capripoint kwenye chuo cha benki kuu.
 
Ngokongosha Mkuu tupe na update za Mwanza Airport.
Mwanza airport kinachoendelea sasa hivi ni ujenzi wa jengo la kuongozea ndege na urefushaji wa njia ya kutua na kupaa ndege ambayo sasa itakuwa na Mita 3,000 au 3km.
Habari zisizo rasmi ni kwamba ujenzi wa jengo la abiria itaanza mwaka huu kabla haujaisha.
 
Napingana na wewe Mkuu. Uimara wa barabara unatokana na kiwango ambacho mkandarasi atafikia. Kama atalipua, basi hata miezi mitatu ni shida. Mfano mzuri ni Isamilo majengo mapya, ilijengwa barabara ya namna hiyo, baada ya mwezi mmoja na nusu yalibaki mawe tupu na kero ilikua x10 ya mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiulizwa life expectancy ya mtanzania ni miaka mingapi? Mtu akajibu 6o, utapinga na kusema mtaani kwenu kuna mtoto alikufa kwa malaria akiwa na miaka 5?
 
Ukiulizwa life expectancy ya mtanzania ni miaka mingapi? Mtu akajibu 6o, utapinga na kusema mtaani kwenu kuna mtoto alikufa kwa malaria akiwa na miaka 5?
Na ninadhani toka zimeanza kujengwa haijapita hiyo miaka 25, na nyingi zinaharibika kabla, so kwa swali lako, jibu ni: ukiniambia kua life expectancy ya mtz ni 65yrs wakati sijawahi kumuona mwenye miaka hiyo lazima nikatae kulingana na uhalisia Wa miaka inayoonekana kua kikomo halisi kuliko makadirio

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
 

Attachments

  • 00.1MWANANCHI JEMBEKA3.jpg
    76.7 KB · Views: 70
  • 00.1MWANANCHI JEMBEKA4.jpg
    76.2 KB · Views: 67
a proposed mega mall complex to be constructed at nyakato mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…