Mwanza City: The Photo Gallery


Wakuu Binafsi nakerwa sana na Nyumba za kuishi za Tanroad zilizojengwa hapo usagara Center, pembezoni ya barabara , lile eneo bora wangejenga frem za Maduka na Mji wa Usagara ungeshachangamka haswa, Kama wahusika tunawajua tunaomba wafikishiwe hizi taarifa , wabomoe zile nyumba na Kuweka frem za Maduka
 
Wadau, naona tangu group ya whatsApp ianzishwe Watu mmepunguza kucomment kwenye huu Uzi humu jamii forum.

Jamii forum ndiyo mahali pazuri ambapo viongozi na mamlaka husika wanaweza kuona na kushughulikia maoni yetu kuliko kwenye group la Whatsapp.

Naomba turudi huku kwenye huu Uzi...naona wengi wamehama.

Whatsapp iko too private.

Ni maoni yangu tu.
 
Kweli kabisa....hata hvyo tutajitahidi kutoa update Kila platform

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…