nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Walikosea sanaWakuu Binafsi nakerwa sana na Nyumba za kuishi za Tanroad zilizojengwa hapo usagara Center, pembezoni ya barabara , lile eneo bora wangejenga frem za Maduka na Mji wa Usagara ungeshachangamka haswa, Kama wahusika tunawajua tunaomba wafikishiwe hizi taarifa , wabomoe zile nyumba na Kuweka frem za Maduka