Walikosea sanaWakuu Binafsi nakerwa sana na Nyumba za kuishi za Tanroad zilizojengwa hapo usagara Center, pembezoni ya barabara , lile eneo bora wangejenga frem za Maduka na Mji wa Usagara ungeshachangamka haswa, Kama wahusika tunawajua tunaomba wafikishiwe hizi taarifa , wabomoe zile nyumba na Kuweka frem za Maduka
Walikosea sana
Mpaka yesu arudiStendi ya nyegezi inazinduliwa lini? maana jana nimepita nikaona wametoa yale mabati.
Tutawapa update zikitoka information zaidiHizi rendering ziko njema maandalizi ya site yameshaanza ni kampuni gani imechukua kandarasi ya ujenzi wa jengo hilo?
Kweli umenena Kuna vitu hatuhitaji fungu kutoka Kwa Samia aiseeHiyo stand ya Nyegezi nilitegea wakati huu wanasubiri ifunguliwe wangekuwa busy kupanda maua pembezoni mwa barabara za zege za kuingia na kutoka, lakini cha ajabu hakuna kinachofanyika. Hata bajeti ndogo ya kupanda maua nayo wanataka mpaka itoke makao makuu ?/
Kwenye hii thread hatuhitaji picha yako! iondoe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kimya
Update... jengo la royal hospitalKimya
Imefika Mpka kule ilikuwa Mwanza Institute Club Jirani ya Rayan's Bay hotel?Ujenzi SGR station umeanza
👆Imefika Mpka kule ilikuwa Mwanza Institute Club Jirani ya Rayan's Bay hotel?
Ok nimecheza sana table tennis enzi hizo na kula wale sato choma kwa jamaa alikuwa akiliendesha jiko (Kigala) sijui bado yuko haiView attachment 2615600
Hiyo hapo baada ya kuvunjwa