Mwanza City: The Photo Gallery

pn'c barber pande za nyakato mecco
 
Attachments

  • pnc barbershop 6.JPG
    5.9 KB · Views: 50
  • pnc barbershop 4.JPG
    121.2 KB · Views: 51
Katika nchi Masikini zaidi Tanzania ni:-

-Mwanza

-Mtwara

- Singida

-Kagera na

- Lindi

Hayo aliyasema Waziri mapema wiki iliyopita.
 
Sioni tofauti ya MWANZA NA BABATI MJINI.
 
Katika nchi Masikini zaidi Tanzania ni:-

-Mwanza

-Mtwara

- Singida

-Kagera na

- Lindi

Hayo aliyasema Waziri mapema wiki iliyopita.
elewa thread inahusu kabla ya kupost. Akili ya watz ni kutaka kulinganisha mkoa vs mkoa. mahala pasipokuhusu kufanya hivyo usifanye.
 
please guys respect za thread@Azarel. babati inaaingiaje kwenye thread hii ya mwanza gallery?. ukitaka kulinganisha kaanzishe uzi mwingine mbishane huko. ukisoma hapo juu kuna warning.
 
elewa thread inahusu kabla ya kupost. Akili ya watz ni kutaka kulinganisha mkoa vs mkoa. mahala pasipokuhusu kufanya hivyo usifanye.
Nani amekuambia Arusha ni Mkoa?

Una uhakika sijaelewa thread inahusu nini?
 
inaonesha haujaelewa thread inahusu nini?. dhana uliyonayo kichwani mwako nishaielewa tafadhari hapa hatubishani kwa hicho ukitakacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…