Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
E bhana hapa ndipo sattelite town inapojengwa na watumishi housing..na habari njema ni kuwa ujenzi umeanza tena baada ya kusimama kwa mda kupisha ununuzi wa nyumba zilizokuwa zimekamilikaView attachment 554946 View attachment 554947 View attachment 554948 View attachment 554949 watumishi housing kisesa
Tanzania: Optimism High As Magu Town Project Advances