Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hizi picha sijawahi ziona zikiwekwa humu au ni mimi tu 🤔🤔
Screenshot_20231214-163232_1.jpg
Screenshot_20231214-163055_1.jpg
Screenshot_20231214-163321_1.jpg
Screenshot_20231214-163028_1.jpg
 
Hivi Lumumba pale kwa Vunjabei kwa chini ndo China plaza ya mwanza eeh?? Maana kuna jamaa wanauza iphone wamekikaa kipigaji sana
 
mradi city center
 

Attachments

  • _20240116_071240.JPG
    _20240116_071240.JPG
    175.7 KB · Views: 19
Iv ile stend ya daladal waliokua wanajenga hapo stend haijakmilik?
Hamna stand mkuu Kuna vibarabara vya kushusha na kuoandishia abiria na sasa Kuna mitaro imechimbwa
 
Back
Top Bottom