Mwanza City: The Photo Gallery

Mmh mbon kun kutokuelewan hapo inaonekn iyo hela n ya kumalizia jengo na kuleta mitambo kitu km sio jengo jipya Tena
 
Nimesikiliza vizuli aisee nahisi ni kweli hawajengi jengo jipya , ni kama wanakamilisha hilo hilo na kuongeza facilities nyingine kama uzio, Parking, Barabara za kuingia na kutoka na mifumo mingine itayoliwezesha kuwa la kimataifa
Mmh mbon kun kutokuelewan hapo inaonekn iyo hela n ya kumalizia jengo na kuleta mitambo kitu km sio jengo jipya Tena
 
Sio mbaya kikubwa ilikuwa lipande hadhi liwe la kimataifa hizo Terminal nyingine zitaongezwa mbeleni
 
Nimesikiliza vizuli aisee nahisi ni kweli hawajengi jengo jipya , ni kama wanakamilisha hilo hilo na kuongeza facilities nyingine kama uzio, Parking, Barabara za kuingia na kutoka na mifumo mingine itayoliwezesha kuwa la kimataifa
Duh ndo bilion 29
 
Pich hain maelezo n jengo la nin mtaa gan floor ngp
Ni jengo la Regional maritime rescue cordination centre limeanza kujengwa pale karibu na uwanja wa ndege mkabala na maraika beach.
 
Wanajenga jingne la bil 30 halimshaul ya ilemela wamerushia ile bil 2 yao iliokua inaleta mgogoro
Wanamalizia jengo la zamani, au TAA pamoja na serikali tukiwemo sisi wadau wa Mwanza tulilidhiaki ilo jengo kwa maneno mengi ikiwemo kuliita godown au supermarket, hivi karibuni alisikika mkuu wa wilaya ya Nyamagana, ndugu Amina Makilagi akisema ilo jengo watalifanya supernarket na watajengo jengo jipya la hadhi ya kimataifa cha ajabu hao hao wanafiki wanamalizia jengo walilosema halina kiwango chochote na wala halina kigezo cha kimataifa..

Hapa kuna mambo mengi ya mkanganyiko, hapa kwa sisi wa jicho la tatu tunaona bado kuna figisu juu ya huu uwanja, huu ukarabati hauwezi kutufanya tuwe wakimataifa hata siku kwa bilion 29, hapa wanaweza kuuita international airport lakini sijaona bado kigezo cha kimataifa.

Tukija kwenye thamani ya mradi tukilinganisha na pesa ilitajwa na serikali kuwa itatumika naona kama vile sijui serikali inatuchukuliaje sisi watu wa Mwanza, jengo ilo la abiria lilikuwa limeisha bado vitu vidogo ikiwemo parking hata hiyo parking ya magari wanayosema watajenga tayari blocks kwaajili ya pavement za parking tyr zilikuwa zimejengwa tena nyingi sana kutosha eneo lote la mradu, tukisema mashine za ndani tayari mchina alikuwa ameleta machine mbili za kufunga, hizo bilion 29 zinatumika wapi???? kama barabara ya kuingia kupaki gari haziwezi kuzidi mita 100, kama finishing na nini na madoido mengine bilion 5 ilikuwa inatosha.

Swali kwanini wameendeleza jengo lisilokuwa na viwango vya kimataifa?
Zile bilion 30 za mwanzo walizosema hawali na wakati wa kusaini wakasema 29 bilion je hiyo bilion moja ipo wapi?
Je wakikamilisha ilo jengo je kweli uwanja wetu wa Mwanza utakidhi vigezo vya kimataifa?
Je thamani ya mradi na hizo pesa zilizowekwa na serikali je vinaendana?

N.B Nalikumbusha shirika la NSSF wakumbuke ahadi yao ya kujenga hotel ya nyota nne hapo uwanja wa ndege hii kidogo itainua hadhi ya uwanja huo na sio hizi ngonjera za kitoto za hii serikali(TAA).
 
Shida yetu, Madiwani wetu ni waoga, hawajui kupambana, kutafuta wadau Wala kubuni miradi.

Wapo wapo tu.

Barabara kama Halmashauri (TARURA) haiiwezi waipambanie ipande hadhi kwenye TANROADS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…