E bhana hapa ndipo sattelite town inapojengwa na watumishi housing..na habari njema ni kuwa ujenzi umeanza tena baada ya kusimama kwa mda kupisha ununuzi wa nyumba zilizokuwa zimekamilikaView attachment 554946 View attachment 554947 View attachment 554948 View attachment 554949 watumishi housing kisesa
😀😀😀😀🙂😀😡 umenifurahisha sana.Charcoal ribs
Kama hujawahi kula nyama ya mamba utaipata hapa.
View attachment 555048
View attachment 555050
View attachment 555051
View attachment 555052
View attachment 555053
View attachment 555054
dahhhh rock city kimbiza mbaya duuuuhhh look like Seoul[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hii ni Mwanza City gallery habari ya comparison ya Arusha na Mwanza sio hapa japo sio Mwana Mwanzakatafute threads za mwanza vs arusha maana akili yako ndiko inakokutuma.
HSC ndio imegeuka GSM.Hawa walishafunga sjui wapo pande zpi...pale sa hv wapo GSM