Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Fursa za kibiashara mwanza weka wazo lako la kibiashara ambalo mwanza zinafanikiwa sana
 
Watalaam Angalieni muddy slide baadae itakuwa rocky or Mountain slide
 
Hivi kwa sasa nikitaka kununu nyumba au apartment Mwanza mjini - siohuko kwenye favellas za kupandiana- nyumba standard inakwenda kiasi gani?

Mwanza mjini napapenda sana na naona Dar pamejaa sehemuninayowezakuwa napumzikainaweza kuwa Mwanza.

Wadau wenye data hapo vipi?
 
IMG_20170814_125224.jpg
IMG_20170814_124628.jpg
IMG_20170814_122549.jpg
IMG_20170814_125900.jpg
IMG_20170814_150519.jpg
IMG_20170814_125224.jpg
IMG_20170814_124628.jpg
IMG_20170814_122549.jpg
 
Fursa za kibiashara mwanza weka wazo lako la kibiashara ambalo mwanza zinafanikiwa sana
Kumbi za mikutano za kimataifa kama una uwezo peleka kule upige hela mpak utapike..., gereji za kuunda bodi za magari, fursa nyingine ni fukwe aisee hapa ndo basi tena mana zilizopo hazitoshelezi mahtaji...
 
just a year mabadiliko niliyoyaona hapa mwanza ni shida. please mwenye akaunt SSC "skyperscrapercity" tuwasiliane.
 
picha za uswaz mbna hamna

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hivi kwa sasa nikitaka kununu nyumba au apartment Mwanza mjini - siohuko kwenye favellas za kupandiana- nyumba standard inakwenda kiasi gani?

Mwanza mjini napapenda sana na naona Dar pamejaa sehemuninayowezakuwa napumzikainaweza kuwa Mwanza.

Wadau wenye data hapo vipi?
Una hela ua kunua nyumba mwanza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
picha za uswaz mbna hamna

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone

Mbona kuna picha nyingi tu zimrpostiwa, uswazi mwanza ni milimani, picha za milimani ndio uswazi kwenyewe
 
Back
Top Bottom