We unazungumzia MSD, hapo sio TFDANjia ya U-turn grocery mkono wa kulia kama unatoka pale mataa(traffic light)
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 543200
Naona wameamua kuweka uzio wa vyuma katikati maana watu walikuwa wanahatarisha maisha Yao.
Buzuruga, Njia ya kuelekea buzuruga shuleni kutokea Nyerere road, mkono wa kuliaTFDA MWANZA wapo wapi
KIMEO CHANGU
Njia ya U-turn grocery mkono wa kulia kama unatoka pale mataa(traffic light)
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah bwana Romanus naona jina na sura vyote navyikumbuka kijana vp yule bichwa nasikia alifukuzwa pale kweli??Buzuruga, Njia ya kuelekea buzuruga shuleni kutokea Nyerere road, mkono wa kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyanguge road au Musoma roadnyerere road inaishia makutano ya pamba road. kuanzaia pale inaitwa nyanguge road.
Musoma road...!!!
Post Picha za maendeleo ya utanuzi wa Barabara hapo Ghana Avenue kwenda Airport...
Sent using Jamii Forums mobile app
poaaMbona kuna picha nyingi tu zimrpostiwa, uswazi mwanza ni milimani, picha za milimani ndio uswazi kwenyewe
Ok ,vipi baada ya Dau kuondoka bado wanaijenga?