- Thread starter
- #1,001
Ngokongosha safi sana. musoma road is becoming busy day to day. keep posting broh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngokongosha safi sana. musoma road is becoming busy day to day. keep posting broh!!
nyakati za jioni ndo balaa kabisa.Nafikiri si muda Mrefu nayo nafikiri wanaweza Anza mipango ya kuifanya njia nne.
Waziri bwana yaani mwanza wawe sawasawa na TaboraKatika nchi Masikini zaidi Tanzania ni:-
-Mwanza
-Mtwara
- Singida
-Kagera na
- Lindi
Hayo aliyasema Waziri mapema wiki iliyopita.
sure jiji la Tanga limepangiliwa sana ktk majiji ya tz. mitaa inaitwa kwa majina ya barabara.Nimetembea majiji yote ya tz. Ukitoka Dar jiji linafuatia ni Mwanza then Arusha kwa majengo,. Kwa ustaarabu na mpangilio wa jiji Tanga linaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukitakata kuzikwa huko bei yake ni kiwanja Kiseke au BusweluHaha haha hawa Jamaa wa Hati na wanatambulika kisheria
Mkuu umenikumbusha siku hiyo mji ulichafuka vibaya sanaWanasiasa wanajua kabisa kwingine kote kura ni za kuokoteleza...fainali ni Mwanza...ukipigwa huku basi tena...katafte kazi nyingine
View attachment 558395
View attachment 558372 View attachment 558374 View attachment 558375 View attachment 558376 View attachment 558377 View attachment 558378
Laizerg you are talented mkuu yaani mpaka mwili unasisimuka lucky kuwa Mkaazi wa Rock citynaona ujenzi wa jengo la bwana kitana chacha upo hatua za mwisho.
asante na jaribu mkuu.Laizerg you are talented mkuu yaani mpaka mwili unasisimuka lucky kuwa Mkaazi wa Rock city
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuifananisha Mwanza na vitu vya kijinga!!Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.