Mwanza City: The Photo Gallery

Mkuu nakupongeza sana. Umepigilia misumari hadi timu chuga wamezima.

Ubarikiwe.

Vipi mitaa ya Mwananchi pia kuna Suburbs za ukweli. Safi sana.
Mwananchi ipo hot sana tutatundika humu picha za huko. Pia nyamhongolo na buswelu one day tutaziona
 
Rock city mall huwezi ilinganisha na mlimani city iliyowekezwa kwa tsh 170000 mwanza in noma.
 
Rock city mall huwezi ilinganisha na mlimani city iliyowekezwa kwa tsh 170000 mwanza in noma.
Jina lako limenikumbusha mbali sana...enzi hizo tunaenda mwamashimba hadi huko kikubiji...hope kuna maendeleo siku hizi
 
 

Attachments

  • Screenshot_2018-01-09-23-17-19-1.png
    38.7 KB · Views: 98
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…