Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hapa kuna nduguye rais Magufuli kalewa, ana shout ili kaka yake asikie kule Ikulu... kuwa "nyumbani ni pipi nyumbani."
 
DO49qnUX0AADcd6.jpg
watu wanajenga afya zao
DCYVXC8XYAApb-L.jpg
maeneo ya kona ya bwiru
 

Attachments

  • CXS1o__UwAEqr7i.jpg
    CXS1o__UwAEqr7i.jpg
    26.9 KB · Views: 87
Tabu unayo wewe kupekua pekua kila ninachopost Pole sana kwa kazi ngumu.
Mwanza kwetu, kila siku lazima nisome hii post bahati mbaya nimekukuta huku mnyarwanda na bila kujificha unaileta kigali kwenye thread.
 
Mwanza kwetu, kila siku lazima nisome hii post bahati mbaya nimekukuta huku mnyarwanda na bila kujificha unaileta kigali kwenye thread.
Utaweweseka sana Mimi mbuzi wewe kaa uwasaidia mama zako kumenya viazi
 
jealous kaoneeee shipa la kichwa lilivyokutoka kama unataka kunya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu la mafuta ya Alizeti hili pole lakin mji kama mzuri hua haupigwi promo
 
abu dhabi huwa inapigwa promo kili kukicha.....na watu mashuhuri huenda kuutembeleaa kwahiyo kwa kigezo chako aunatuaminisha kuwa abu dhabi sio mji mzuri??

Mwanza mnapiga promo hapa JF adu dhabi wanapiga promo kimataifa wanaingiza ela nyie promo yenu inaishia hapa hapa hakuna lolote
 
mimi nipo arusha kwa miaka mingi sana ni kweli naona mwanza inabadirika chap chap kuliko arusha maana arusha ipo vile vile tu kwa muda mrefu sn changes ni ndogo mno kama barabara ya ngaramtoni to usa na hamna kingine cha maana huo ndo uhalisia kabisa uliopo
 
Back
Top Bottom