Daniel kulwa Nyawayi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 277
- 187
Itakua hujawahi kanyaga Mwanza ww Arusha ndogo ww kwa Mwanza.Arusha ipambanishe na Mbeya hukoKwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua hujawahi kanyaga Mwanza ww Arusha ndogo ww kwa Mwanza.Arusha ipambanishe na Mbeya hukoKwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
hata mbuyu ulianza kama mchicha upo hapo
Wacha wivu. Hutu mchezo hauhitaji hasira......
Tatizo Barabara ya kuingia na kutoka mjini in moja.Otherwise no mji unaokuja vizuri.
Dsm ndo mwisho wa yote
Hakuna picha nyingine. Uzi ulikuwa bomba sana huu
Kama paris vile. hatari sana
Tatizo Barabara ya kuingia na kutoka mjini in moja.Otherwise no mji unaokuja vizuri.
Ooooh! Kumbe wa kukaya!Home sweet home.....
Hapa hatulinganishi bro. Mi pia naweza kuanzisha uzi wa Arusha na kutupia vitu vya maana.A town ni kwere huku mastar kibao unaowana kwenye tv washalala tukisema tuanze kutupi hotel ama ma camp site walzolala na gharama zake ni kwere...kina will smith..beckam ma plyer ndo usiseme kina lebron ..n.k acha kbisa kutuma hizo hotel...zako na kuikejel arusha.
A town ni kwere huku mastar kibao unaowana kwenye tv washalala tukisema tuanze kutupi hotel ama ma camp site walzolala na gharama zake ni kwere...kina will smith..beckam ma plyer ndo usiseme kina lebron ..n.k acha kbisa kutuma hizo hotel...zako na kuikejel arusha.