Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili eneo ni hot balaa
View attachment 790987 View attachment 790988 View attachment 790989 View attachment 790990 zikiwa hatua ya mwisho mwisho
Nhc-busweluZiko wapi hizi na ni majengo kwa ajili ya nini
Huwa nashangaa na ntazidi kushangaa kuona Arusha ikilinganishwa na Mwanza na sijui watu wanatumia vigezo vipi kubishana au kwa kuwa inafuatana ukitaja majiji ya Tanzania.Kwa sisi tunaoifahamu vema miji hii miwili,Mwanza ni kubwa mbali mno kwa Arusha kuanzia eneo la ukubwa wa mji,idadi ya watu,idadi ya nyumba,vyombo vya usafiri(magari,pikipiki,bajaji) Arusha imepimwa na imekaa kimpango mji,pia hotels nzuri inabidi mwanza ikasome+idadi ya maduka ya kubadlisha fedha+shule nzuri kiwango cha kimataifa.Mwanza ni kubwa mno kieneo na hata kibiashara ni tofauti kabisa na ArushaKwa hiyo "kamji" ndio kameishia hapa...
Kwa hiyo avatar yako tu nimeshajua unatokea mji upi...Kwa hiyo "kamji" ndio kameishia hapa...