Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

A town ni kwere huku mastar kibao unaowana kwenye tv washalala tukisema tuanze kutupi hotel ama ma camp site walzolala na gharama zake ni kwere...kina will smith..beckam ma plyer ndo usiseme kina lebron ..n.k acha kbisa kutuma hizo hotel...zako na kuikejel arusha.
Ni sawa na mtu asifie Bilila Kempisky na Singita zilizopo Serengeti ambazo booking inafanyika Marekani alafu mgeni anakuja na begi lake lake tu ...hayo mambo ya 5 stars hotel ni kwa wageni na fahari ya macho kwa wenyeji,,,
 
Tumia tafsida mkuu
Unapokihifadhi kinyesi sehemu salama aka chooni huitwa kujisaidia ila unakihifadhi kinyesi sehemu ambayo sio salama kama kwenye pagale, kichaka, ziwani, baharini ama kwenye swimming pool ama pembeni ya choo bila kulenga shimo hiyo inaitwa KUNYA maana huyo mtu hana tofauti na mnyama
 
Unapokihifadhi kinyesi sehemu salama aka chooni huitwa kujisaidia ila unakihifadhi kinyesi sehemu ambayo sio salama kama kwenye pagale, kichaka, ziwani, baharini ama kwenye swimming pool ama pembeni ya choo bila kulenga shimo hiyo inaitwa KUNYA kama alivyosema Otorong'ong'o maana huyo mtu hana tofauti na mnyama
Acha kunitajataja kindezi ndezi
 
Kwa kutumia huu uzi unaweza kumuambia mtu jinsi mwanza ilivyo na akaamini ulishaishi mwanza kumbe akuna kitu
 
Samahani mkuu nilikuwa namfafanulia jamaa ulivyomwambia kama jamaa wameacha kunya ziwani (akasema tumia tafsida na ndio nikawa namweleza maana ya kunya ni nini)....anyway nimefuta jina lako kwenye comment yangu mkuu (samahani sana)
Hamna tabu mkuu..

Hata hivyo nilikuelewa kinyume ulinyosema...
KUNYA kama alivyosema @Otorong'ong'o maana huyo mtu hana tofauti na mnyama

Nikadhani umeniambia sina tofauti na mnyama....
 
upload_2018-4-26_17-59-48.png

sehemu inayoonekana kubomolewa ni kupisha ujenzi wa sgr.
 
Back
Top Bottom