Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Kaka yangu, AIM mall haiwezi linganishwa na ile ya Mwanza. AIM more mwenyewe alijenga warehouse. Baadae akaona haitalipa na akawa keshamaliza kabisa mpaka kupaua. Akaamua kugeuza kuwa shopping more baadae. Ramani ni warehouse na plan nzima ilikuwa hiyo. Hazina ulinganifu hata kwa mbali na ile ya Mwanza. Nikel ndo mmiliki wa hiyo ya Arusha.Rock city mall ni shidaaa...japo bado iko under utilized.. Sisi huku chuga tuna Aim mall newly opened but ni kadogo tu japo kaukweli
[emoji3][emoji3]karibu, ntakupokeaKesho nin safar ya mwanza dua zenu[emoji41]
Karbu tenaNice photo, nice city with a lot of elevations of rockies.
Nimekumbuka sana garden fulani pale kamanga ferry, mida ya jioni ni full upepo mwanana.
Siyo kweli! Tangu lini?Ndio
Kuna demu tuliwahi dinyana kwa ASSIST hapo MIPA HOTEL, Daaah!! Miss you my Joy.
Kuna Ntonto moja hapo yaitwa Marry ukifika mwambie namsalimiaLenana hotelView attachment 534200
Mwanza city stand upMsodok
hahahahaha umetisha mkuuKuna demu tuliwahi dinyana kwa ASSIST hapo MIPA HOTEL, Daaah!! Miss you my Joy.