Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Kaka yangu, AIM mall haiwezi linganishwa na ile ya Mwanza. AIM more mwenyewe alijenga warehouse. Baadae akaona haitalipa na akawa keshamaliza kabisa mpaka kupaua. Akaamua kugeuza kuwa shopping more baadae. Ramani ni warehouse na plan nzima ilikuwa hiyo. Hazina ulinganifu hata kwa mbali na ile ya Mwanza. Nikel ndo mmiliki wa hiyo ya Arusha.Rock city mall ni shidaaa...japo bado iko under utilized.. Sisi huku chuga tuna Aim mall newly opened but ni kadogo tu japo kaukweli