Mwanza City: The Photo Gallery

Please wekeni picha za ground level za Mwanza CBD streets nyingi mbalimbali za kutosha za jiji maana hizi za Aerial wakati mwingine hazionyeshi streets katika uhalisia wake. Aerial View ni nzuri kama unahitaji coverage ya eneo kubwa!
 
Halafu wakuu kule malaika beach resort kwa pembeni kuna maghorofa kama mawili matatu hivi yana rangi ya machungwa..... Nilipenda kufahamu ni ya nn,residential au ya ofisi fulani coz yamenivutia mno aisee,kuliko hata malaika yenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…