Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Uko sahihi mkuu...nilikir picha zote zimepigwa maeneo yaliyokaribiana...hilo ghorofa la bluu ndo limenichanganya sababu hata pale nera kuna jengo linataka kufanana na hilo....halafu itakuwa ilichukuliwa kutoka lile eneo la kupandia boti za kwenda saananeHiyo picha ya pili mbona kama vile unatokea Mkuyuni kabla haujafika mwanza South/Sahara