Mwanza City: The Photo Gallery

Hiyo picha ya pili mbona kama vile unatokea Mkuyuni kabla haujafika mwanza South/Sahara
Uko sahihi mkuu...nilikir picha zote zimepigwa maeneo yaliyokaribiana...hilo ghorofa la bluu ndo limenichanganya sababu hata pale nera kuna jengo linataka kufanana na hilo....halafu itakuwa ilichukuliwa kutoka lile eneo la kupandia boti za kwenda saanane
 
Mkuu ule mpango wa mega mall na conference hall ulifikia wapi..?
Upo mkuu kulikuwa na mgogoro kidogo na wakazi wa eneo husika ila nimepita majuzi watu wamebomoa vimebaki vibanda vichache mbele ya barabara. Si unajua render imeshabadilika siyo ile iliyopostiwa humu pages za mwanzoni.
 
Duh sikujua mkuu kama imebadilika...kwan kwa sasa ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…