Hata Mimi nataka kuhoji maana pale pamebana haswaaa!!
Kwa taarifa zilizopo ni pale ilipo parking ya magari
Ni mradi wa serikali mkuu? Hawa wanasumbua sana kwenye miradi yaoKwa taarifa zilizopo ni pale ilipo parking ya magari
Duh
Huo si halisi...wenyewe waliukata kabisa na pembeni yake ndo wakatengeneza huoHuo mti inasemekana wakoroni walikua wananyongea watu hapo sasa sijui wameukatakata na kuupaka hayo marangi ya nini.
Hii inajengwa na serikali au kanisa?Kwa taarifa zilizopo ni pale ilipo parking ya magari
Watashirikiana ndivyo inavyoendeshwa Bugando
Acha kutuzalilisha bas wasukuma
kote na Nyegezi stand kuna mwamba mmoja hapa kasema PESA zimezuiliwa na GVT
Majuzi nikiwa town nilisikia matangazo eti watabadilisha vituo vya daladala kupisha ujenzi wa hilo soko... Labda wataanza kazi muda si mrefu.Kusimama kwa ujenzi ..kumekaa kisiasa siasa mfano pale soko kuu #wapiga kura wangu