Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Bugando is in that position of undergoing major transformation kihuduma.View attachment 1388174 hii ni render ya jengo la bugando heart insitituteView attachment 1388175na hii ni ophthalmology centre. Yaani idara ya macho for paediatrics and adults.
BMC sahv watakuwa vizuri sana Baada ya bwana WEILL Kuingia rasmi sasa, GVT kuongeza nguvu na kuimarika kwa makusanyo kwa Mwezi wanafika mpk Bilioni 3 lazima watakuwa vizuri tu muda utaongea!!!

Typed Using KIDOLE
 
14114829_925114824285047_5022928047576183040_o.jpg
 
Mwenye kuweza atuletee pictures za Buzuruga, mecco na kule Buhongwa kwa chini kuelekea ziwani ambako huwa kama kuna kaziwa flani kamejitenga karibu na Malimbe 🙏
 
Ok, zinasaidia lakini au zinaongeza usumbufu? Maana naona Kama kumekuwa na taa nyingi Sana.
Kuna maeneo zimesaidia ila kuna maeneo mengine kwa kweli sijaona umuhimu mkubwa wa taa.., hayo maeneo yenyewe sheria za taa muda mwingine hazifuatwi... Unakuta imewaka red hakuna mtu wa kuvuka dereva anasepa hivyohivyo, au imewaka nyekundu ile ya kuzuia watu halafu hakuna gari linalopita mtu anavuka tu... Mfano nilijaribu kupita ile barabara ya mirongo kuelekea u-turn hadi sekou toure,ukiizunguka hiyo barabara na ufupi wake kuna traffic lights maeneo manne!!! Na sio eneo busy sana... Ila labda wana malengo na mipango yao sababu hata maeneo walipoziweka si mabaya;ni maeneo ya shule, kwenye junctions na sehemu wanapovuka watu wengi kama pale dampo...Halafu naziona zikiongezwa kabisa kwan kuona maeneo nikipita naona kabisa kuna uhitaji mfano ile raundi about yenye sanamu ya mti wa wajerumani;kuna uwezekano wakaweka pale kama zile za kona ya bwiru au pasiasi sababu magari yanachanganyana sana pale hadi muda mwingine anakuwepo trafiki.
Ila mimi nikikuta sehemu ya taa pako huru huwa napita tu;siziangalii.
 
Back
Top Bottom