Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Taa kwenye round wanazingua aiseeKuna maeneo zimesaidia ila kuna maeneo mengine kwa kweli sijaona umuhimu mkubwa wa taa.., hayo maeneo yenyewe sheria za taa muda mwingine hazifuatwi... Unakuta imewaka red hakuna mtu wa kuvuka dereva anasepa hivyohivyo, au imewaka nyekundu ile ya kuzuia watu halafu hakuna gari linalopita mtu anavuka tu... Mfano nilijaribu kupita ile barabara ya mirongo kuelekea u-turn hadi sekou toure,ukiizunguka hiyo barabara na ufupi wake kuna traffic lights maeneo manne!!! Na sio eneo busy sana... Ila labda wana malengo na mipango yao sababu hata maeneo walipoziweka si mabaya;ni maeneo ya shule, kwenye junctions na sehemu wanapovuka watu wengi kama pale dampo...Halafu naziona zikiongezwa kabisa kwan kuona maeneo nikipita naona kabisa kuna uhitaji mfano ile raundi about yenye sanamu ya mti wa wajerumani;kuna uwezekano wakaweka pale kama zile za kona ya bwiru au pasiasi sababu magari yanachanganyana sana pale hadi muda mwingine anakuwepo trafiki.
Ila mimi nikikuta sehemu ya taa pako huru huwa napita tu;siziangalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
