Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nimeso
Kuna mradi unaitwa Tampere garden, Nia ni kujenga sehemu za chakula, kuchezea watoto, kupumzikia nk.



Eneo kwa ajili ya Kupumzikia, michezo ya watoto na watu wazima, michezo ya kwenye maji (Water Sports), Hoteli na migahawa nk. Eneo la Tampere
Hii iko mwanzacc.go.tz

Mkuu huko skyscrapercity sisi ndio wakongwe natumia jina la rockcity, siku hizi hatuna taarifa nyingi ndio maana tuko kimya, tuna mpaka group la WhatsApp.
Nimesoma sana post zako. Cheeers
 
Huu mradi ulishakufa sidhani Kama bado upo,
Majuzi alikuja tajiri toka uarabuni nafikiri walimzungusha Sana maeneo ila taarifa zote zina usiri mkubwa. Kuna picha nikiipata link yake ntawadondoshea.
Halafu mkuu nimeona wanasawazisha hilo eneo,wanachimba hadi ardhini kana kwamba kuna kitu wanataka kujenga...kuna mzee huwa anapita pita pale naye nilimuuliza akasema hajui... Sijui wanajenga nini... Ila kuna siku ntamuuliza yeyote anayehusika pale ntaleta feedback.
 
Halafu mkuu nimeona wanasawazisha hilo eneo,wanachimba hadi ardhini kana kwamba kuna kitu wanataka kujenga...kuna mzee huwa anapita pita pale naye nilimuuliza akasema hajui... Sijui wanajenga nini... Ila kuna siku ntamuuliza yeyote anayehusika pale ntaleta feedback.
Fanya kuulizia kabla hujaondoka tujue nini kinaendelea
 
Round hazitakiwi taa mkuu
Labda huijui round inayozungumziwa jinsi ilivyo!! Kwenye hiyo round about kuna gari zinatoka sehemu tano tofauti na huwa madereva wanatumia busara zaidi kuachiana nafasi,ila siku kukitokea madereva wehu wawili itatokea ajali mbaya. So lile eneo ni muhimu kuwe na mataa ya kuongozea vyombo vya moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Camera yangu ya tecno W4 mbayaaa ila fresh tu kwani nini
IMG_20200330_113414.jpeg


Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
mwenye picha ya jengo la pale kona ya kwenda nyakahoja karibu na mto kama unatokea huku kemondo kulia. karibu na bohari ya MSD kama limeisha lile jengo atupie humu picha.
Niliacha linajengwa sijui kama limeisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom