Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuliwakilisha vizuri kiasi kwa picha Jiji la Mwanza. Utanogesha zaidi ukiweka picha nyingine zaidi ya Hotel km vibanda hasara; migahawa ya wazi; masoko rasmi na yasiyo rasmi; vituo vya kuegesha vyombo vya usafiri na 'stand' za mabasi; nknatambua uwepo wako mkuu.
Rock city native
asante sana mkuu. tupo pamojaHongera kwa kuliwakilisha vizuri kiasi kwa picha Jiji la Mwanza. Utanogesha zaidi ukiweka picha nyingine zaidi ya Hotel km vibanda hasara; migahawa ya wazi; masoko rasmi na yasiyo rasmi; vituo vya kuegesha vyombo vya usafiri na 'stand' za mabasi; nk
picha zinakuja mkuu kila sekta itaguswaSehemu gani mkuu? Nilishawahi ishi kijiji cha Nsangamwalugheshi
Hilo ndio jibu la swali! Mbona refu sana..maneno kama haya ni ya mtanzania asiye a staha. kuwa mstaarabu madam we ni mtanzania unacholazimisha wewe udhi haukuruhusu. by the way kwanini tugombanie fito?
revise ur post haukuuliza swali bali umekejeli.Hilo ndio jibu la swali! Mbona refu sana..
Nimemaliza, ujanja ni gharama sio rahisi kama unavyofikiri!revise ur post haukuuliza swali bali umekejeli.
Ngokongosha nilikusahau kaka.
umetupia kitu cha wag hill kinang'aa vibaya.
pamoja sana kamanda.Tuko pamoja mkuu, tuupende mji wetu ndio uzalendo Wenger huo