Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi na mbeya kuna nini cha maana?Yule anayelinganisha Mwanza na Arusha ni mwendawazimu. Mwanza usilinganishe na vitu vya ajabu. Mimi Arusha na Mwanza kote nimefika tena sio kusalimu ndugu hapana ni kutalii kwamaana kwamba haya majiji yote nimezunguka vya kutosha. Kwakweli Mwanza ni level zingine aisee. kuna sehemu nyingi zinazopendeza. Nilifurahi sana nilipotembelea Saanane Island National Park kuliko mbuga ingine yoyote kati ya nilizotembelea, nilienjoy sana nilivyoenda Jembe ni Jembe Beach Resort....nilienda pia Tunza Beach Resort nilifurahi mnooo. Nikaingia Rock City Mall kutizama cinema...waachaa.
Majengo ya ajabu yapo Mwanza aisee kama lile jengo ukiwa unaelekea Saanane National Park (limejipindapinda hiviii).
Lakini kuna vitu pia viliniboa vinafaa virekebishwe kama aina ya usafiri wa vipanya, pia jiji linapoa mapeema mno...saa tano usiku kimyaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kuoga wakaniambia utaliwa na mamba hapa ila kuna upepo mzuri sana
TFDA MWANZA wapo wapi
Njia ya U-turn grocery mkono wa kulia kama unatoka pale mataa(traffic light)TFDA MWANZA wapo wapi
KIMEO CHANGU
Ahsanteh mkuu hiz naona ni ofisi mpya Maana Kuna zile zazamani kama sikosei zilikuwa kinjia flan hv kwa nyuma Karibu Na BOA Bank kuelekea Sekeoutoure hospital...Njia ya U-turn grocery mkono wa kulia kama unatoka pale mataa(traffic light)
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana tukawa tunaongelea kitu kimoja maana ukitoka U-turn grocery unashika njia ya Sekoutoure hospitalAhsanteh mkuu hiz naona ni ofisi mpya Maana Kuna zile zazamani kama sikosei zilikuwa kinjia flan hv kwa nyuma Karibu Na BOA Bank kuelekea Sekeoutoure hospital...
KIMEO CHANGU
Oky.. Ahsanteh Mkuu nilikuwa najiuliza Mbona zile za zaman hazikuwa hvOfisi mpya za TFDA mwanza ziko buzuruga.
TFDA iko Nyakato ndugu,kwenye taa za Buzuruga unakunja kushoto utaona ghorofa lao mbele kidogo mkono wa kuliaInawezekana tukawa tunaongelea kitu kimoja maana ukitoka U-turn grocery unashika njia ya Sekoutoure hospital
Sent using Jamii Forums mobile app