Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha
Mitaa ya rwegasore kwa Samike.Picha
ya kwansa wapi apo mzee
Hiyo picha ya mwisho nahisi ndio kiwanja "kilichowagombanisha" waziri mkuu na Mkuu wa mkoa Makala,, kwani hii project ni ya nani?
Hii dude itakuwa na floor 15, ni jengo la mkubwa sana, makalla alitaka kuvamia mtumbwi wa vibwengo kwa ujuaji wa kipumbavuHiyo picha ya mwisho nahisi ndio kiwanja "kilichowagombanisha" waziri mkuu na Mkuu wa mkoa Makala,, kwani hii project ni ya nani?
Hili dude likiisha patapendeza sana hapoHii dude itakuwa na floor 15, ni jengo la mkubwa sana, makalla alitaka kuvamia mtumbwi wa vibwengo kwa ujuaji wa kipumbavu
View attachment 2777707
Hongereni 👏 👏Hii dude itakuwa na floor 15, ni jengo la mkubwa sana, makalla alitaka kuvamia mtumbwi wa vibwengo kwa ujuaji wa kipumbavu
View attachment 2777707
Hii nini mkuu mbona ki ulaya ulaya sana
Ukitaka kusafiri kwenda ulaya na huna nauli we njoo Mwanza.Hii nini mkuu mbona ki ulaya ulaya sana
Hiyo ni barabara ya kwenda airportHii nini mkuu mbona ki ulaya ulaya sana