Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Bado mpk wakae mwak mpya wa fedha 2024!/25 ndo zitakua included

[mention]Kitombile [/mention]hapo juu amesema pesa za huo ujenzi hazipo kwenye hiyo bajeti kana kwamba bajeti tajwa ipo tayari.
 
Unamaanisha bajeti ya 2024/2025 ipo tayari?
Bado, na hizi barabara haziwezi kuwemo zote watapachika moja na ujenzi wataanza tarehe 20/9/2025 kwa barabara moja na nyingine watatumia kwenye kampeni zao hao wanasiasa.
 
[mention]Kitombile [/mention]hapo juu amesema pesa za huo ujenzi hazipo kwenye hiyo bajeti kana kwamba bajeti tajwa ipo tayari.
Bajeti tajwa ni ya mwaka 2023/2024 tusubiri ya mwaka 2024/2025
 
Wakizindua wanawek jiwe la msing ujenz barabar four lanes nyerer na kenyatta... Anaamin mwanz watampa kura kumaliz ujenz wa izo barabar
Wakiwaonea huruma watapiga dual carriage ya 15km kutoka mkuyuni adi nyegezi au buhongwa kwanza.
 
Hii uhakika.
Yeah ila wanaanz na 10km kwzn
Mkuu tusiwe kama watoto wadogo kwa hiyo sasa hivi serikali inatafuta pesa kwaajili ya kanda ya ziwa tu we unadhani hiyo miradi iliyosemwa ndio inafanyiwa kazi? Wamesema zaidi ya miradi 11 ya Mwanza yenye thamani ya zaidi ya bilion 900 we unazani itafanyika? Na bado ataenda mikoa ya kusini nao watapewa ahadi kemkem bado kaskazini, nyanda za kati na magharibi, tule mtori nyama tunaweza kuzikuta chini.
N sahihi kwa sias za bongo sio jambo la ajabu tukashindw kuamnin hii inatokn na ahad nying za kila siku hasa viongoz waliopita ukiacha jpm hata waliopo lakn haikufany usiamn kila kitu ukizngatia wananchi wa sas sio zamn jpm ashawafungua macho so Ata viongoz waliopo wanalijua hili lakn n kwel tu naelekea uchaguz km unavojua tukikalibia kun namn inaandaliw kuwaandaa wapiga kura wasahau machungu waliopita kwa namn ya kufany vitu mwshon ili wanasiasa wapate cha kuongelea... Mam n km alipotez mvuto hasa Kanda ya ziw na watu wa Kanda hii wanatak vitendo ndo maan kaon njia pekee n kufany vitu vitakavyoshawish watu ingekua n ahad tu angesem akiwa anaomb kura mwshon 2024 sio sas.. Hii inaandaliw na bajet n2024 mwez wa saba ispokua included kwen bajet ndo utahoji kwel n uongo tu ila Kam bajet yenyew bado tusubil ila nna Iman zitaanz kujengw mwk kesho hope so kwa kusom akil za haw viongoz... U Wil come to believe
 
Wakiwaonea huruma watapiga dual carriage ya 15km kutoka mkuyuni adi nyegezi au buhongwa kwanza.
Kitu nachowaz au labda kinakwamish pia n pale igogo na viwandan kuelkea mjin... Itakuaje coz kulipa fidia pale n pesa ndefu San na wakasem flyover pia n pesa ndefu Hua nawaz hii barabar kujengw n ghali San coz usanifu hawjaanz Leo Wal Jana.... Inaitaj maamuz magumu San kujeng kw kile kipande
 
Na bado wamesema tena kuwa hiyo barabara itafanyiwa usanifu ndio maana nikaingiwa na hofu nikajua hapa tunapigwa, tunaiomba serikali kama hiyo barabara hawataijenga ni bora waijenge upya kwa njia mbili tu kwani imechoka ni aibu sana kwa jiji letu.
 
Wakiwaonea huruma watapiga dual carriage ya 15km kutoka mkuyuni adi nyegezi au buhongwa

Na bado wamesema tena kuwa hiyo barabara itafanyiwa usanifu ndio maana nikaingiwa na hofu nikajua hapa tunapigwa, tunaiomba serikali kama hiyo barabara hawataijenga ni bora waijenge upya kwa njia mbili tu kwani imechoka ni aibu sana kwa jiji letu.
Inaudhi San... Utadhn haifaidk na chchote na jiji la mza wao wanajiangalia wao walipo bas kwa kua wapo dar mitaa yao Safi ndo wanazngatia seem zngne n aibu km sio tz... Majiji mengne Utadhn n manspaa
 
Soko tu limeanz kujengw tok 2019 uko mpk leo 2023 halijakmilk na hatujui linakamilk lin ila dar soko la kkoo limeungua moto limeanz mwak huu na linaelekea kukamilk na n gorofa Sita kubwa coz wanaon umuhmu tu pale seem zngne Ata wakiacha kusimamia hawajal
 
Tutajisifu kwa maghorofa tu lakini sio miundombinu, wanataka kila mtanzania aishi Dar, majiji yetu yamechokaa.
 
Viongoz wanapuuzia San vitu vyet hasa vya maendeleo mikoa ming iko Makin tu dar na Dom coz wao ndo Mara nying wapo uko majiji mengne wabunge wakilal ndo Imekula kwetu... Lakn pia naon wabunge mza wamelal San mpka msukum anawasemea kuhus uwanja wa ndege.... Inabd kua wasumbuf San wasilale
 
Nyie wasukuma endelea kupanda fisi, masoko hayana tija kwenu.
 
Viongoz wanapuuzia San vitu vyet hasa vya maendeleo mikoa ming iko Makin tu dar na Dom coz wao ndo Mara nying wapo uko majiji mengne wabunge wakilal ndo Imekula kwetu... Lakn pia naon wabunge mza wamelal San mpka msukum anawasemea kuhus uwanja wa ndege.... Inabd kua wasumbuf San wasilale
Walishasema mpaka wakachoka wamebakiza kuosha vyombo vya ikulu ili wapate hata kamradi kamoja.
 
Mandhari safi sana hii ya airport yetu ya Mwanza
IMG-20231025-WA0075.jpg
 
Tutajisifu kwa maghorofa tu lakini sio miundombinu, wanataka kila mtanzania aishi Dar, majiji yetu yamechokaa.
Ata magorof meng n watu binafs tu.. Nyumb za taasis za serkal n aibu kwa kwel hazilet mvuto kwen jiji km sio jpm kujitaid mwauwaa, BOT, mahakama, na mengne ingekua kituko ila yaliobak n ovyo ase.. Nhc wanajenga nyumba katkat ya jiji kwel ten miak hii skutegmea kbsa
 
Nilskia makalla anaagiza jengo la abiria lijenge Mara moja lianze na pesa iliopo jengo kubw la kisas la kuchukua abiria 2milion
Anaagiza, pesa anatoa mfukoni mwake, jengo lianzwe kujengwa na render hatujaona, manunuzi, mkandarasi hajasaini, bado site hatujui ni ipi, hao wakuu wa mikoa hawana tofauti na machawa bendera fuata upepo.
 
H
Huo mwenge unazimwa lini mkuu? Hakuna kitu hata kimoja kitakachofanyika hapo, labda wazindue ujenzi wa barabara ya airport- igombe, 10km mengine yamekaa kisanii sana.
Hii ya airport-igombe wameshaitengea bajeti?
 
Yeah ila wanaanz na 10km kwzn

N sahihi kwa sias za bongo sio jambo la ajabu tukashindw kuamnin hii inatokn na ahad nying za kila siku hasa viongoz waliopita ukiacha jpm hata waliopo lakn haikufany usiamn kila kitu ukizngatia wananchi wa sas sio zamn jpm ashawafungua macho so Ata viongoz waliopo wanalijua hili lakn n kwel tu naelekea uchaguz km unavojua tukikalibia kun namn inaandaliw kuwaandaa wapiga kura wasahau machungu waliopita kwa namn ya kufany vitu mwshon ili wanasiasa wapate cha kuongelea... Mam n km alipotez mvuto hasa Kanda ya ziw na watu wa Kanda hii wanatak vitendo ndo maan kaon njia pekee n kufany vitu vitakavyoshawish watu ingekua n ahad tu angesem akiwa anaomb kura mwshon 2024 sio sas.. Hii inaandaliw na bajet n2024 mwez wa saba ispokua included kwen bajet ndo utahoji kwel n uongo tu ila Kam bajet yenyew bado tusubil ila nna Iman zitaanz kujengw mwk kesho hope so kwa kusom akil za haw viongoz... U Wil come to believe
Wana wapanga2 hakuna cha barabara wala nn tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom