Ukipandacho, ndicho uvunacho.Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.
Nabii tito watu wanakwambia katiba inatoa uhuru wa kuabudu , mbona mzee wa bapa anasemaga unaruhusiwa kwenda bucha tofauti hila nyama ni ile ilePolisi wamburuze tu mahakamani wasijisumbue kumpeleka kumpima yeye ndiye akaseme mahakamani na kutoa ushahidi na yule Nabii Tito wamfanyie hivyo hivyo wamburuze mahakamani yeye ndie akathibitishie mahakama Kama ni mwehu au la.Kesi za watu wa aina hii polisi wasijipe presha
Free Masqo , free the don, wanabongo fleva na wanajf tushikamane kumtoa mwenzetuMATUSI sio Uhuru wa kujieleza,
Uhuru wa kujieleza una mipaka, mipaka take ndio hiyo iliyoleteleza akamatwe.
Mtukanaji ametumia Uhuru vibaya..... Kudhibitiwa ni sahihi.
Uhuru huo wanaouita wa kujieleza na Uhuru wa habari ulisababisha mauaji makubwa Rwanda!
Mnaotetea jipimeni Mara nyingi nyingi
Uko sahihi mkuukuna wazo nimepata haraka haraka hapa...hivi na shule je? isije kuwa jamaa sasa wanataka kumfukuza shule kwa kutofika kazini bila taarifa...natania tuuu😀😀
Mishahara midogo ndio inadhalilisha fani sio yy , after all yy hakuwa anawakilisha walimu , alikuwa anajiwakulisha mwenyeweAmedhalilisha Fani ya ualimu, apewe adhabu kali liwe funzo kwa wengine!
Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
Mbona mimi nimeona ya kawaida tu , sema hajatumia tafsidaAliandika facebook maneno mazito wewe nenda facebook mtafute mtemi uone alivyojichafua. Aiseee ni aibu kuyatamka hata hapa
Alishindwa[emoji109]
Hata leo wamemtangaza redioni, hahahahahh (RFA kwenye kipindi cha matukio)duh! haya
ndio maisha aliyochagua usimpangiewatu wanapenda sana kujiharibua kazi na cv kwani ukikaa kimya tu bila kuandika chochote utakufa? hali sasa hivi kweli ni ya kuhangaika na mambo ya kipolisi?
siwezi kumpangia mie nimetoa maoni yangundio maisha aliyochagua usimpangie