Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Polisi wamburuze tu mahakamani wasijisumbue kumpeleka kumpima yeye ndiye akaseme mahakamani na kutoa ushahidi na yule Nabii Tito wamfanyie hivyo hivyo wamburuze mahakamani yeye ndie akathibitishie mahakama Kama ni mwehu au la.Kesi za watu wa aina hii polisi wasijipe presha
Nabii tito watu wanakwambia katiba inatoa uhuru wa kuabudu , mbona mzee wa bapa anasemaga unaruhusiwa kwenda bucha tofauti hila nyama ni ile ile
 
MATUSI sio Uhuru wa kujieleza,
Uhuru wa kujieleza una mipaka, mipaka take ndio hiyo iliyoleteleza akamatwe.
Mtukanaji ametumia Uhuru vibaya..... Kudhibitiwa ni sahihi.
Uhuru huo wanaouita wa kujieleza na Uhuru wa habari ulisababisha mauaji makubwa Rwanda!

Mnaotetea jipimeni Mara nyingi nyingi
Free Masqo , free the don, wanabongo fleva na wanajf tushikamane kumtoa mwenzetu
 
Huyo jamaa hata uku Jf ni member sema jina lake limenitoka
Anaye juwa jina la huyo deo atusaidie maana kuna siku alishatuma video ya utumbo
 
Huyu kisandu ni kichaa Polis waache kuhangaika na vichaa
 
huyu jamaa simu yake huwa inasumbua touch screen, huwa inajipost yenyewe afu yeye anakuja ku share
 
watu wanapenda sana kujiharibua kazi na cv kwani ukikaa kimya tu bila kuandika chochote utakufa? hali sasa hivi kweli ni ya kuhangaika na mambo ya kipolisi?
 
Back
Top Bottom