Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Siku hizi uchochezi ni kosa kubwa kuliko kubaka ...............!!
Nchi ya Vichaa wala sio Viwanda.
Nabii Tito, Dr. Shika
Sasa naona kutakuwa na Dr Kig..... nae naona ameanza kuyumba
 
Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!

Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Mama siku hizi umebadilika sana tena sana. Umepatwa na nini? Huyu siyo yule cocochanel ninayemjua au account yako imekuwa hacked? Km ni ww kweli hongera sana tena zaidi ya sana. Hizi akili ndizo zinazohitajika.
Hongera sana
 
Nauliza, matusi gani aliandika huko facebook? Je tunaweza ona screenshots zake
 
Heshima mbele wana bodi.
Mwana JF mwenzetu anayesifika kwa kuanzisha nyuzi zisizoeleweka Deogratius Kisandu amekamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutukana katika ukurasa wake wa Facebook. Mwenye taarifa za matusi anayotuhumiwa nayo ayaweke hapa.
 
atakayeweka hayo matusi hapa naye atakuwa ametukana na hivyo ataungana na Kisandu. be careful
 
Huyo akiwekwa ndani siwezi kushangaa maana nafikiri sio mzima kwenye kichwa
 
Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!

Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Serikali uiteteayo kila siku ndo imemkamata... Waulize wao cyo sisi
 
Back
Top Bottom