Anawajibika kwa Taifa
Nchi imemsomesha sana ualimu
Leo anaidhalilisha nchi
Anajifunza mambo mema sana huko
Akitoka atakuwa kijana mzuri sana wakulipenda Taifa lake kwa moyo wake wote
Watu ni wepesi sana wakuhukumu. Ila Deo aliwah kuandika humu kwenye moja ya post zake kuwa account yake ya fb imedukuliwa. Sasa badala ya kumtafuta mdukuaji wanamshikilia Deo.