Mwanza: Fiesta yasababisha Mechi ya Simba na Mbao kuchezwa Alhamisi

Kutakuwa kuna tatizo mahali..

Hili suala la kuvurugwa ratiba ya Mechi za Ligi kuu wadau walishalizungumza sana...
 
Uwanja Mmiliki wake anafanya biashara jengeni viwanja vyenu kama zilivyo timu za huko majuu mnapofananisha then tuone kama fiesta iwafuata kwenye hivyo viwanja vyenu....mbona hatujawai kusikia tamasha ama fiesta uwanja wa azam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo sahihi kabisa wala usiwalaumu bodi ya ligi....!
huwezi ona hivi vitu vikitokea nchi nyingene ni kwasababu kila timu ina kiwanja chake..Kwa bongo atakaye wahi kutoa mtonyo ndiyoo atakaye kitumia....95% hivi viwanja vyote vinamilikiwa na Chama .na kwa kupitia viwanja hivi ndiyo chanzo chao cha mapato...TUSILAUMU

TUMEAMUA SOKA LETU LIWE KWENYE UCHEZAJI NA SIO KUWEKEZA KWENYE VIWANJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…