zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
"Karibu Ulaya"Kweli?
Narudia tena,ya kweli haya?
Kama kweli,basi "bongo bahati mbaya".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Karibu Ulaya"Kweli?
Narudia tena,ya kweli haya?
Kama kweli,basi "bongo bahati mbaya".
Ulaya ipi unayonikaribisha???"Karibu Ulaya"
Ya huku Mahenge mkuu![emoji23] [emoji23]Ulaya ipi unayonikaribisha???
Nimekusoma vizuri mkuu...Ya huku Mahenge mkuu![emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji122]Nimekusoma vizuri mkuu...
mech ilibid ipigwe ijumaa na sio jumamos..
Wahaya katika ubora wenuAcha kabisa, Ruge sio wa mchezo mchezo.
Ipo sahihi kabisa wala usiwalaumu bodi ya ligi....!Wakuu hii ligi yetu ni bora liende, nimepata taarifa Mechi ya Mbao vs Simba iliyokuwa ipigwe Jumamosi hii katika dimba la CCM Kirumba imerudishwa nyuma na itapigwa Alhamisi ili kupisha tamasha la muziki la Tigo Fiesta.
Sikuwahi kujua Fiesta ina nguvu kubwa kiasi hiki? Only in Tanzania!