Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

Kuna mbwa wangu amepotea mwezi uliopita mpaka leo hajaonekana, iumbe haka kamtindo kameanza huku?
hahahahaha, uko Mwanza? Ujue kuna kambi za wachina wanaotengeneza barabara na wenyewe wananunua mbwa kwa ajili ya mlo. hahahahah Labda kuna madogo wameenda kumuuza huko. hahahahahah
 
hahahahaha, uko Mwanza? Ujue kuna kambi za wachina wanaotengeneza barabara na wenyewe wananunua mbwa kwa ajili ya mlo. hahahahah Labda kuna madogo wameenda kumuuza huko. hahahahahah
Maeneo tajwa hapo juu ndipo naishi nahisi hawa walikuja kuiba mbwa wangu.

Kwa hiyo mimi nigeuke kulinda mbwa wangu badala ya kulindwa na mbwa?
 
tangu lini samak wachoshe? ni kubadili aina ya uandaaji tu weka na dona hapo siku inapita leo wa kuchomwa kesho wa kukaanga kesho kutwa mchemsho mtondogoo aliye pakwa vikorombwezo na kuokwa utaanzaje kumchoka?
sawa
 
Maeneo tajwa hapo juu ndipo naishi nahisi hawa walikuja kuiba mbwa wangu.

Kwa hiyo mimi nigeuke kulinda mbwa wangu badala ya kulindwa na mbwa?
Du! Pole labda ameibiwa au kama ni dume labda alienda kwa majike atarudi akimaliza michezo yake
 
SITI ZA KATIKATI inawezekana wengi wamekula dog bila kujijua #supu ya mbwa na chapati haitaacha mtu salama
 
Yan Dar ndo hatari watu wanakula umbwa hatari sana.
Arusha tu nyama naziogopa labda kisongo na kwa morombo atleast nyama zinaeleweka
 
"Tamu ya wali ni nazi, raha ya supu mandazi"

Chapa supu hiyo dada, au hana ndimu?
 
NAHUJA Ushamuharibia ndugu yangu Mbisse biashara.

Kama vipi hamia hapo nolin au asborne ...kwa style hii kwa msukuma ntakuwa napiga zangu 2,3 nasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…