- Thread starter
- #21
hahahahaha, uko Mwanza? Ujue kuna kambi za wachina wanaotengeneza barabara na wenyewe wananunua mbwa kwa ajili ya mlo. hahahahah Labda kuna madogo wameenda kumuuza huko. hahahahahahKuna mbwa wangu amepotea mwezi uliopita mpaka leo hajaonekana, iumbe haka kamtindo kameanza huku?