Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

Kama vipi wafungue tu bucha maalum za nyama ya mbwa lakini sio kuchanganyia watu bila kujua. Ni kosa kisheria
 
Kweli
 
Hawa wapuuzi wanafikiri kila Mtanzania ni Muhehe? Washenzi sana.
 
Hapo kwa msukuma kuna yule mangi mwingine anauza kitimoto, na siku za karibuni ameboresha sana mapishi kitimoto imekua tamu sana. Inawezekana na yeye anafanya mchanganyiko huo pia?
 
Hapo kwa msukuma kuna yule mangi mwingine anauza kitimoto, na siku za karibuni ameboresha sana mapishi kitimoto imekua tamu sana. Inawezekana na yeye anafanya mchanganyiko huo pia?
Ndio huyo huyo Mbise. Huyo ndie aliyekutwa na vichwa vya mbwa. Anaitwa Mbise, mweupe. anauza supu na kitimoto. NI kama hilo jiko amelishikilia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…